Hapa tumekuwekea ufafanuzi wa kina wa maswali yote yanayoulizwa mara kwa mara ili kukusaidia kupata uelewa sahihi.


01. Je, bidhaa zenu ni za kemikali au ni za asili?

​Jibu: Bidhaa zetu zote kutoka UKI Natural Products ni za asili kwa asilimia 100 (100% Natural). Zimetengenezwa kwa kutumia mimea, matunda, na virutubisho salama kabisa ambavyo havijapitia michakato ya kemikali hatarishi. Ni salama kabisa kwa afya na ustawi wa mwili wako.


02. Je, nikipata matokeo niliyotaka kisha nikaacha kutumia bidhaa, nitarudi kama zamani?

​Jibu: Hapana, hutarudi kama zamani! Matokeo utakayoyapata kwa bidhaa zetu ni ya kudumu (permanent). Hii ni kwa sababu bidhaa hizi zinaenda kurutubisha, kurekebisha, na kuimarisha mwili katika hali yake ya uhalisia na asili, na sio mabadiliko ya bandia au ya muda mfupi.


03. Je, bidhaa zenu zina madhara yoyote ya baadae (Side effects)?

​Jibu: Hapana, bidhaa zetu hazina madhara yoyote kwa sasa wala baadae kwa afya yako. Zimefanyiwa utafiti wa kina na zinaruhusiwa kutumiwa kwa usalama. Utatumia kwa amani kabisa bila hofu yoyote ya kukumbana na changamoto baadae.


04. Bidhaa zenu natumia kwa siku ngapi? Na mabadiliko yanaanza lini?

​Jibu: Bidhaa zetu zimeandaliwa kwa ajili ya matumizi ya mwezi mmoja (siku 30) ili kupata matokeo bora na ya kudumu. Hata hivyo, mabadiliko ya awali na ishara chanya kabisa za mwili kuitikia bidhaa huanza kuonekana mapema sana ndani ya wiki mbili au chini ya hapo tangu uanze kutumia.


​05. Je, bidhaa yenu ya kupunguza tumbo tu haipunguzi mwili mzima?

​Jibu: Bidhaa yetu imeandaliwa kitaalamu kulenga kuyeyusha mafuta yaliyorundikana maeneo ya tumbo na nyama za kiunoni (visceral fat) bila kuathiri maeneo mengine ya mwili wako. Kama una umbo zuri (shape) na unataka kuondoa kitambi au tumbo tu na kubaki na shepu yako, bidhaa hii ni salama kabisa kwako kwani haitakupunguza mwili mzima.


​06. Bidhaa yenu kupunguza tumbo au ya mwili husababisha kuharisha au kuvuruga tumbo?

Jibu: Hapana, huharishi hata kidogo! Bidhaa yetu haivurugi tumbo wala kuharisha. Unapotumia bidhaa hii, utakuwa unapata choo chako cha kawaida kabisa kila siku, isipokuwa tu kinakuwa laini (soft stool). Hii ni ishara nzuri na salama kabisa kuwa bidhaa inaenda kuyeyusha mafuta yaliyoganda tumboni na kuyatoa nje kwa njia ya asili na ya amani kabisa bila kukukosesha raha.


07.​ Je, mtu mwenye vidonda vya tumbo anaweza kutumia bidhaa ya kupunguza tumbo au uzito?

​Jibu: Ndio, unaweza kutumia bidhaa zetu za kupunguza tumbo au uzito hata kama una changamoto ya vidonda vya tumbo. Hata hivyo, ili kulinda kuta za tumbo lako lisivurugike, tunashauri sana utumie bidhaa hii baada ya kula matunda au mboga mboga. 


08. Ikiwa nataka kuongeza shepu tu lakini miguu tayari ninayo ya kutosha je?

​Jibu: Bidhaa yetu ya kupaka ndio suluhisho sahihi kwako. Unachotakiwa kufanya ni kupaka mafuta haya kwenye maeneo yale tu unayohitaji yaongezeke. Ukishafikia muonekano unaouhitaji, unaacha kupaka.


09. Je, bidhaa ya kupaka ya kupunguza mwili wa juu inaweza kupunguza na tumbo pia?

​Jibu: Hapana, bidhaa ya kupaka ya kupunguza mwili wa juu haipunguzi tumbo. Kwa ajili ya kuondoa mafuta ya tumboni kwa ufanisi mkubwa zaidi, tunashauri kutumia bidhaa yetu ya kunywa. Bidhaa ya kunywa inafanya kazi kutoka ndani na kuyeyusha mafuta yote ya eneo la tumbo kwa haraka.


15. Kwa changamoto ya Bawasiri  je, nitumie bidhaa ya kupaka au ya kunywa?

​Jibu: Kwa matokeo ya haraka na ya uhakika, tunashauri utumie mchanganyiko wa bidhaa zote mbili. Kupaka na ya kunywa. Bidhaa ya kunywa inaenda kutibu chanzo cha tatizo kutoka ndani, wakati bidhaa ya kupaka inasaidia kusinyaisha kinyama, kuondoa maumivu, na kuponya michubuko kwa nje.


16. Je, bidhaa ya kupunguza tumbo inafanya kazi hata kama tumbo ni la kufanyiwa upasuaji (Operation) na sio tumbo la mafuta ya kawaida?

​Jibu: Ndio, inafanya kazi vizuri sana! Bidhaa hii imeandaliwa kitaalamu kusaidia kurudisha tumbo katika hali yake ya kawaida kwa usalama kabisa, hata kama ni lile tumbo lililojitokeza baada ya oparesheni.


17. Je, bidhaa yenu ya kuongeza mwili inaweza kunisababishia nikapata kitambi?

​Jibu: Hapana, haiongezi kitambi kabisa! Bidhaa yetu imejaa virutubisho vya protini tupu na haina mafuta (zero fat). Kwa sababu haina mafuta, haina uwezo wa kwenda kurundika mafuta mabaya kwenye eneo la tumbo lako; badala yake, inakujaza vizuri maeneo salama ya mwili na kukupa umbo zuri sana lenye kuvutia bila kukuharibia umbo lako. 


18. Je, matokeo ya bidhaa hizi ni ya uhakika au nitapoteza pesa zangu bure?

​Jibu: Matokeo  ni ya uhakika kwa asilimia 100! Bidhaa zote za kutoka UKI Natural Products zimefanyiwa utafiti wa kina na zimeshawasaidia mamia ya wateja wetu kupata matokeo waliyoyatamani. Ukifuata maelekezo ya matumizi vizuri, ukawa maminifu kwa dozi yako, tunakuhakikishia utapata mabadiliko makubwa na ya kuridhisha kabisa. Pesa yako iko salama na utapata thamani halisi ya kile ulichokilipia.


19. Kati ya bidhaa ya kuongeza shepu ya kupaka na ile ya kumeza, ipi ni nzuri zaidi na ina matokeo ya haraka?

​Jibu: Bidhaa zote mbili ni nzuri sana na zina matokeo ya uhakika, ila bidhaa ya kumeza (kunywa) ndio inayowahi kutoa matokeo kwa haraka zaidi kwa sababu inafanya kazi ya kurutubisha mwili kutoka ndani kwenda nje. 


20. Kama nanyonyesha, je, naruhusiwa kutumia bidhaa ya kupunguza tumbo au ya kupunguza uzito?

​Jibu: Kama mtoto wako ana umri wa chini ya miezi 6, hatushauri kabisa kutumia bidhaa yoyote ya kupunguza tumbo au uzito. Katika kipindi hiki, mtoto anategemea maziwa ya mama pekee (exclusive breastfeeding) na mwili wako bado unajenga nguvu. Mtoto akishafikisha miezi 6 na kuendelea, unaweza kuanza kutumia bidhaa zetu kwa usalama kabisa.


21. Ikiwa nilifanyiwa upasuaji (Operation), naweza kuanza kutumia bidhaa ya kupunguza tumbo au ya uzito?

Jibu: Afya yako ndio kipaumbele chetu cha kwanza! Ikiwa upasuaji wako una chini ya miezi 6, au kama bado kidonda kinakusumbua na kukuuma, usitumie bidhaa hizi kwanza. Tunashauri usubiri hadi miezi 6 ipite na uhakikishe kidonda kimepona kabisa ndani na nje, ndipo uanze safari ya kupunguza tumbo au uzito kwa usalama.


​22. Ikiwa nanyonyesha na nataka kuongeza shepu, nitumie bidhaa ipi kati ya ya kunywa na ya kupaka?

​Jibu: Kwa mama anayonyonyesha, chaguo salama zaidi ni bidhaa yetu ya KUPAKA. Bidhaa ya kupaka inaenda kurutubisha na kuongeza maeneo unayoyataka (kama nyonga na makalio) kwa nje bila kuingia kwenye mfumo wa maziwa ya mtoto. Ni salama kwa 100% kwako na kwa mtoto wako mchanga.


23. Ili kupata shepu nzuri, inabidi nitumie bidhaa kopo ngapi?

Jibu: Ili kupata shepu nzuri, dozi inategemea muundo wako wa sasa: kama hauna shepu kabisa (uko flat) tunashauri utumie makopo mawili (2) mfululizo ili kukupa matokeo makubwa na ya kudumu, lakini kama tayari una shepu kidogo na unataka tu kuiboresha, kopo moja (1) pekee linakutosha kabisa kukupa muonekano unaoutamani 


24. Je, naruhusiwa kutumia bidhaa ya kuongeza mwili nikiwa mjamzito au nanyonyesha, na ni lazima kutumia mbili?

​Jibu: Ndio, unaruhusiwa kabisa kwani kwa mjamzito au mama anayenyonyesha, bidhaa yetu ya kuongeza mwili ya kupika kama uji ni nzuri na salama sana kwa afya yako na ya mtoto, na ni lazima kutumia paketi mbili (2) mfululizo ili kukamilisha dozi na kupata matokeo ya uhakika na ya kudumu.