Agiza WhatsApp
Kulipia hela yote unavyopokea mzigo
(Kigezo taja jina unalotumia Facebook au Instagram,uwe na picha sio chini ya 5. Taja majina yako sahihi,tunahakiki)
Kulipia nauli tu kwanza hela ya bidhaa unalipia unavyopokea (kulipia nauli kwanza hakuna kigezo chochote)
Mzigo lazima uchukuliwe ndani ya siku 2 baada ya kufika.
Tafadhali ili kuepuka usumbufu,agiza bidhaa ukiwa umejipanga kiuchumi.
Lengo letu: Tunafanya hivi ili kutupa nafasi ya kuwahudumia wateja wetu wanaohitaji huduma kwa haraka na kuzuia msongamano wa oda hewa.Asante kwa kuheshimu muda wetu na wa wateja wengine.UKI Natural Products Tunajali Ubora na Muda.
BONYEZA HAPA KUONA NAULI ZA KUTUMA MIZIGO
Arusha - 5,000
Boma Ng'ombe - 5,000
Bukoba - 5,000
Chunya - 10,000
Dodoma - 5,000
Gairo - 5,000
Geita - 5,000
Ifakara - 5,000
Iringa - 5,000
Kahama - 5,000
Karagwe - 10,000
Katavi - 5,000
Kasulu - 10,000
Kibaigwa - 5,000
Kibaha - 5,000
Kigoma - 5,000
Kondoa - 5,000
Korogwe - 5,000
Kyela - 10,000
Lindi - 5,000
Mafinga - 5,000
Manyara - 5,000
Mbinga - 10,000
Morogoro - 5,000
Moshi - 5,000
Muleba - 10,000
Musoma - 5,000
Mtwara - 5,000
Mwanza - 5,000
Mbeya - 5,000
Njombe - 5,000
Nzega - 5,000
Runzewe - 10,000
Sengerema - 10,000
Shinyanga - 5,000
Simiyu - 10,000
Singida - 5,000
Songea - 5,000
Sumbawanga - 5,000
Tabora - 5,000
Tanga - 5,000
Tarime - 10,000
Tukuyu - 10,000
Tunduma - 5,000
Turiani - 5,000
Zanzibar(Unguja) - 10,000
Malipo ya bidhaa hufanyika wakati wa kuchukua mzigo Mabibo au Karume
Ikiwa mteja anahitaji mzigo kupelekewa mahali alipo, gharama ya usafiri italipwa na mteja.